Kila masomo ya Biblia yafuatayo yanayo maswali kuhusu misingi ya kuimarisha uhusiano na Kristo. Soma swali, kisha utafute jibu la swali hilo katika Biblia yako. Wakati inasema Yohana 1:12, inamaanisha...
Kuwa mfuasi ni mchakato usio na mwisho upande huu wa kifo. Wakristo wote wanapaswa kukua daima kama wanafunzi wa Yesu Kristo. Ingawa kuwa mfuasi ni safari ya maisha yote, miaka miwili ya kwanza ya...